Tuesday, March 2, 2010
ananilea nkya apata tuzo ya mwanamke jasiri wa mwaka
Mkurugenzi wa TAMWA, Bi. Ananilea Nkya akipokea tuzo ya Mwanamke Jasiri wa Tanzania kwa mwaka 2010 kutoka kwa Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt. Kapata tuzo hiyo kutokana na juhudi na ubunifu wa TAMWA wa kutumia vyombo vya habari katika kuimarisha usawa, fursa na haki za wanawake na watoto wa kike wa Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment