Monday, August 9, 2010
HIZO SIYO KUNI BALI NI ( MUNDUZI) ZILIZOKAMATWA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA KUENEA KWA SILAHA ZA MOTO
2.Mkuu wa mkoa wa Mwanza Abas Kandora akitazama Bunduki zaidi ya 3000 kabla ya kuanza kuteketezwa, Bunduki hizo zilikuwa zikimilikiwa na watu mbali mbali kinyume na sheria na kukamatwa na polisi mkoani humo katika nyakati tofauti na kuamriwa kuteketezwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment