Pages

Subscribe:

Other Category


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Labels

You can replace this text by going to "Layout" and then "Page Elements" section. Edit " About "

About Me

Journalist-cum-Lawyer from Mwanza

Followers

YOUR Category ...

Thursday, September 15, 2011

safari yangu ya 14.09.2011 kutoka Dar- Mwanza eneo la Mbande Kongwa

Hapa basi la Sumry al manusra litutoe nyoongo

Friday, July 22, 2011

Ufunguzi wa chuo cha mafunzo ya Askari wa Maji(Polisi Marine) Mwanza

Hapa Balosi Kagasheki, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani akitoa neno kwenye ufunguzi wa Marine Training Institute huku Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt akiwa tayari kukata utepe

Wednesday, July 6, 2011

Maeneo ya Soko kuu wananchi wakichungulia wakiwa wamejifungia sokoni kufuatia vurugu jijini Mwanza July /07/2011

Jamaa anatimua kukimbia sereka la MachingaVs Jiji/ Wahindi

You see how Mwanzaites are admiring people who stormed the streets purportedly to be Machingas

wananchi wanaagalia jinsi vurugu zilivyoendelea Jijin Mwanza

Kamanda Sirro ilibidi atumie 'psychology' kuwatuliza wananchi wenye hasira ndipo hasiara zikatulia Jijini Mwanza 10/07/2011

vurugu za Machinga/ Daladala Vs Jiji/ Wafanya biashara vurugu ambazo vibaka walijiingiza kwa wingi kupora mali kwenye maduka na kuchoma mali mbalimbali

Vurugu za Machinga/ Waendesha Daladala vs Jiji/ wafanyabiashara wa Kiasia 06/07/ 2011

Mtaa huu wa Lumumba ulikuwa uwanja wa vurugu- waona magari yachomwa moto

Thursday, June 30, 2011

BOSS WA IMF CHRISTINE LAGARDE

MWANA MAMA WA KIFARANSA AUKWAA UKURUGENZI MKUU WA IMF

ENZI ZAKE ALIFANYA YALIYOWEZEKANA, HAKUIBA

MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE, RAIS WA KWANZA NA WAZIRI MKUU WA KWANZA WA ILIYOKUWA TANGANYIKA NA BAADAE TANZANIA

Mambo ya WDL(LTD) SONGWA SAILING CLUB

KWA WAPIGA MAY a.k.a MASANGA WANAIKUMBUKA SONGWA SAILING CLUB VIZURI SANA

Shaggy akiserebuka na baadhi ya wacheza ngoma wa Kabila la Kisukuma

Angalia Shaggy akiwa katawazwa kijana wa Kisukuma kwenye shrehe za Bhulabo Kisesa Jijini Mwanza

Jengo la Williamson Diamonds Ltd, jengo la kuchambulia Almas (sorting house)

Monday, April 18, 2011

Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari mkoani Manyara MAMEC

Mwenyekiti wa  Klabu ya waandishi wa habari mkoani Manyara MAMEC,Benny Mwaipaja akizungumza na wanachama mjini Babati juu ya mikakati ya chama hicho kwa mwaka 2011,wengine ni Makamu Mwenyekiti Mary Margwe,Katibu Zacharia Mtigandi na Kaimu Mweka hazina Charles Masayanyika.PIcha na Joseph Lyimo.

Wednesday, March 2, 2011

Kwa wapendao Milegezo huyo ndo mwenzenu

Check bob hilo linajimwaya mwaya mitaani, iga miondoko.

Tuesday, March 1, 2011

Dr Slaa atinga Butiama kumuona Mama Nyerere

Akipata mawaidha ya  Mke wa Hayati Mwalimu  J.K.Nyerere

Rais Joseph Kabila

Hivi karibuni alinusurika kwa kifo baada ya baadhi ya walinzi wake kula njama za kumuua

Friday, February 25, 2011

WAKUMBUKA MWAKA 47?

HUENDA WAKAWA WAHANDISI HAWA

Mtikisiko jijini Mwanza- CHADEMA waandamana

DOWANS MPAKA KIELEWEKE

Kesi ya Mwakalebela yaisha- Aachiwa huru


Frederick Mwakalebela (kushoto) akitoka mahakamani leo baada ya kuachiwa huru na mahakama ya hakimu mkazi Iringa chini ya hakimu wake Mheshimiwa Festo Lwila katika kesi yake ya rushwa ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili. (FransicGodwinblog

Jiji la Mwanza lilizizima kwa Maandamano ya CHADEMA

Hiyo ni Nyerere Road, Mtima wa Jiji  la Mwanza waandamanaji wakiunga mkono maadamano ya CHADEMA Feb24,  2011