Monday, March 1, 2010
Ingelikuwa kilio na kusaga meno kama Ndege ( EROPLENI ) ya ATC ingeliwasha cheche pale ilipokita nje ya njia yake ya kurukia nakuwanusuru watu 46 waliokuwamo.
Huu tena ni mwonekano wa Boeing 737-200 ilipokuwa ikitua Mwanza Airport ilipoacha njia na kukita kichwa chake chini baada ya tairi kuchomoka.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment