Pages

Subscribe:

Other Category


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Labels

You can replace this text by going to "Layout" and then "Page Elements" section. Edit " About "

About Me

Journalist-cum-Lawyer from Mwanza

Followers

Monday, March 1, 2010

ndege ya Shrika la ndege Tanzania Boeing 737-200 baada ya kupata ajali Mwanza Aiport 01/03/2010

Watu 46 wamenusurika kifo baada ya Ndege ya Shirika la Ndege ( ATC) Boeing-737-200 baada ya kile kinachoelezwa kuwa ni kukosa mwelekeo wakati ikitua katika uwanja wa Ndege wa Mwanza leo 01/03/0210 majira ya saa 1.45 za asubuhi ikitokea Dar es Salaam ikiwa na abiria 39 na wafanyakazi saba. ndege hiyo ilikita kwenye majani umbali wa kilomita nne( 4) kutoka kwenye njia yake ya kurukia. hakuna abiria wala mfanyakazi aliyejeruhiwa. Chanzo hakijafahamika kwani bado wataalamu wanachunguza kwa makini kilichojitokeza.

0 comments:

Post a Comment