Saturday, January 16, 2010
Safari ni safari wafugaji wetu wanakuwa wakimbizi nchini mwao!
Pichani baadhi ya wafugaji wa jamii ya wasukuma wakisafiri kutumia mkokoteni wa Ng'ombe kutoka katika kijiji cha Magamba kuelekea Kijiji cha Mheza,Kata ya Namkukwe,Wilaya ya Chunya,mkoani Mbeya,hiyo ndiyo hali halisi ya usafiri katika maeneo mengi wilayani Chunya kutokana na miundo mbinu mibovu ya barabara na hivyo kupelekea wamiliki walio wengi wa magari ya abiria kushindwa kupeleka magari huko( kwa hisani yaThompson Mpanji).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment