Friday, February 25, 2011
CHADEMA took Mwanza Streets in a demo to pressurize the Govt to lower/ reduce the Price of Sugar and refrain to pay the bogus debt that Downs owes it.
Mwanza residents flocked the Streets to support the CHADEMA demonstrations that was aimed at askin' da govt not to pay the purported Downs debt.
Angalia watu walivyofurika Jijini Mwanza kwenye maandamano ya CHADEMA kupinga malipo kwa DOWANS
Suala la kupanda kwa sukari na Serikali kushughulikia Mafisadi CHADEMA waliandamana katika Jiji la Mwanza Feb 24, 2011
Maandamano ya Feb 24, 2011 ya CHADEMA yalifurika ile mbaya
Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wakishinikiza Serikali isilipe denila Dowans, ipunguze bei ya Umeme na ishughulikie mafisadi.
Thursday, February 24, 2011
Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akiwa na huzuni wakati Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick anamsomea taarifa kuhusu milipuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gongo La Mboto. Makinda ametembelea kambi ya waathirika, Mzambarauni jijini humo.(Picha na Fadhili Akida). 

Tuesday, February 15, 2011
Friday, August 27, 2010
Ziara ya PM Burundi kwenye kutawazwa Nkurunzinza kuwa PREZ kwa mara ya pili
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maziwa Makuu, Balozi Liberat Mulamula (kulia) baada ya kuwasili jijini Bujumbra, ambapo leo atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za kumwapisha , Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinz.
Monday, August 23, 2010
Robinson Mnyoti ni Raia wa Kenya aliyerubuniwa na Mkenya Mwenzake( aliyehukumiwa miaka 17 jela) kuja Mwanza kutafutiwa kazi , kumbenia ilikuwa kuuzwa
Baadhi ya wanachama wa chama cha maalbino mkoni ,Mwanza wakiwa na Robinson Mnyoti watatu kutoka kushoto,aliyenusurika kifo agosti 15 mwaka huu na wa pili kutoka Kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Mwanza Bw.Alfred na aliyekaa kulia ni Bibi, Angel
Saturday, August 21, 2010
WAANDISHI WA HABARI WA TABORA(TPC) WAKIWA NA WENYEJI WAO WA SHINYANGA( SPC) WALIPOKUWA MAFUNZONI MKOANI HAPO
Picha ya pamoja ya waandishi wa mikoa ya Shinyanga na Tabora walioshiki mafunzo ya habari za uchaguzi
MAMBO YA UCHAGUZI MKUU 2010
Baadhi ya waandishi wa TV Kanda ya Nyanda za Juu Kusini waliohudhuria mafunzo ya namna ya kuripoti habari za uchaguzi 2010 yaliyoandaliwa na UNDP wakiwa katika picha ya pamoja na Mwezeshaji Laurence Kilimwiko( aliyevaa kizibao) nje ya Ukumbi wa Beaco Resort Mbeya hivi karibuni, waandishi hao walielezea umuhimu wa wadau wa habari kujali zaidi maslahi ya nchi. (picha na Juma Nyumayo)
Jijini AKILI MKICHWA- VIJANA WAKIFANZA BIASHARA YA MBWA, KAMA NJUGU VILE!
Jiji ni Jiji hapa vijana wakiwa na Mbwa wadogo na wakubwa wakiwauza kandokando ya Barabara ya Ali Hassan Mwinyi Jijini Dar es salaam
Jiji la Dar Linazidi kumelemeta, naona usafi unarejea, waiona Mnazi mmoja?
Eneo la Viwanja vya Bustani ya Mnazimmoja inayomilikiwa na Jiji la Dar es Salaam linavyoonekanapamoja na Majengo ya kisasa katika picha iliyopigwa kutokea juu ya ghorofa la Ushirika Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Friday, August 20, 2010
Mr. Jilala Calvin Duttu akipokea cheti cha mafunzo ya Ukufunzi wa masuala ya Uchaguzi Jijini Mwanza
AKIKABIDHIWA CHETI NA RAIS WA UTPC BW. KENNETH SIMBAYA NI DUTTU( MR). PEMBENI NI KATIBU WA MCT MR KAJUBI MUKAJANGA NA MWENYEKITI WA MPC MR. JIMMY LUHENDE
Subscribe to:
Posts (Atom)